Tulisikia kwamba baada ya kufanyiwa upasuaji Marekani, Rais Kikwete
alipewa masharti kadhaa na madaktari waliomfanyia upasuaji juu ya
utaratibu wa kufanya katika kipindi cha miezi mitatu, ambapo moja ya
masharti aliyopewa ni kutofanya kazi ngumu.
Katika ukurasa wa Facebook wa gazeti la Mwananchi, wamepost picha na
story inayosomeka hivi; “..MAZOEZI: Rais Jakaya Kikwete akifanya mazoezi
katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, kutekeleza ushauri wa
madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuimarisha afya
yake, baada ya upasuaji mwezi uliopita nchini Marekani. Picha na
Ikulu..“
Credit Millardayo
No comments:
Post a Comment