Monday, 29 December 2014
Umesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Dec 30 ?Yako hapa
Saturday, 13 December 2014
Sio Movie… Watoto wavamia Bank… Tazama video ya kilichotokea hapa
Watoto wawili wenye umri wa miaka 12 na
mwingine 13, wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kufanya jaribio la
kuiba Bankwakitumia Bastola bandia.
Haikuwa movie, hii ni kweli kutoka Israel.
Mmoja wao alikuwa amebeba begi la
daftari mgongoni, huku wakiwa na bastola za toy halafu wakaingia benki
na kuwatisha wateja waliokuwemo ndani ya Benki hiyo mitaa ya Tel Aviv.
Msemaji wa Polisi huko Israel Micky
Rosenfeld amethibitisha tukio hilo kuytokea na kusema kuwa waliwakamata
watoto hao baada ya kupata picha za kwenye camera za CCTV.
Mwanasheria Gil Gabay amekosoa namna
ambavyo watoto hao walihudumiwa wakiwa kituo cha Polisi, waliwekwa kama
watuhumiwa watu wazima huku wakiwafuatilia kwenye camera maalum huku
wakiwa wamekaa kwenye viti ambapo Gabay amesema haki za Watoto hao
zimekiukwa.
Tayari wamefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka huku wakiwa wameficha sura zao.
Tumia Sekunde 46 kutazama Video ya tukio hilo la aina yake.Unahitaji kupata story zote kali zinazonifikia? Ni rahisi sana mtu wangu.. Niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook
Sunday, 7 December 2014
TAARIFA NYINGINE KUTOKA IKULU KUHUSU RAIS KIKWETE LEO DESEMBA 07
Tulisikia kwamba baada ya kufanyiwa upasuaji Marekani, Rais Kikwete
alipewa masharti kadhaa na madaktari waliomfanyia upasuaji juu ya
utaratibu wa kufanya katika kipindi cha miezi mitatu, ambapo moja ya
masharti aliyopewa ni kutofanya kazi ngumu.
Katika ukurasa wa Facebook wa gazeti la Mwananchi, wamepost picha na
story inayosomeka hivi; “..MAZOEZI: Rais Jakaya Kikwete akifanya mazoezi
katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, kutekeleza ushauri wa
madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuimarisha afya
yake, baada ya upasuaji mwezi uliopita nchini Marekani. Picha na
Ikulu..“
Credit Millardayo
Thursday, 4 December 2014
HATIMAYE Nack Visual Production YAJA KWA KASI KWA UBORA WA KAZI
Nack Visual Production wanaopatikana mivinjeni mkoani Iringa ni wazoefu wa kushoot video mbalimbali na ni mafundi wazuri wakudizaini macover na kudublicate CD.
Hata hivyo nack wametoa ofa kwa msimu huu wa sikuku kwa punguzo la bei kwa asilimia 50% kwa kila aina ya kazi inayofanyika katika studio zao.
Aidha msimamizi wa kampuni ya nack visual production amethibitisha kwa kusema kuwa "tumeamua kuwajali wale wenye mapenzi ya dhati na kazi zetu na ndio maana tumeweka punguzo la bei ili kila hali iweze kumudu kufanya kazi na sisi hususani katika kipindi hii cha sikukuu iwe kushoot ama kitu chechote kinacho tuhusu"
Kwa mawasiliano wasilianao kwa nambali 0768817030 au 0752659508 au email: nacknim0@gmail.com
BY HABARITALKBLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)