
|
Mwili wa mpiga debe huyo baada ya kifo chake
|
DENI la
Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya
mabasi yaendeayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya
kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na kifuani. (FS)
No comments:
Post a Comment