Wednesday, 6 August 2014

Mama mjamzito aogelea kutafuta hospitali



Mwanamke mmoja nchini India ameogelea kwenye mto uliokuwa umejaa maji mengi yaliyotokana na mvua kubwa ilhali akiwa na ujauzito wa miezi tisa. (FS)

No comments:

Post a Comment