Wednesday, 6 August 2014

Linex Asema 2015 Lazima Agombea ubunge kupitia chadema


Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars anaitwa Linex Mjeda.

No comments:

Post a Comment