Monday, 3 November 2014

Mitihani kidato cha Nne kuanza leo








Mitihani ya kuhitimu kidato cha nne imeanza leo hii  kote nchini ambapo wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imetoa takwimu ya wanafunzi wanaofanya mitihani kuwa ni 297,488 kati yao wahitimu wa shule wakiwa 245,030 na wahitimu wakujitegemea wakiwa ni 52,458.
 Wakiongea na habaritalk blog wazazi wa wahitimu wa kidato cha nne mkoani Iringa wamesema wamewaandaa vizuri watoto wao tayari kwa kukabiliana na mitihani hiyo itakayo dumu kwa muda wa siku 20 kuanzia tarehe 03 hadi tarehe 23 november .

Aidha wazazi wameomba watoto wao kuwa makini katika kusoma vichwa vya habari ili waweze kujibu mitihani yao kwa ufasaha.
By habaritalkblog

No comments:

Post a Comment