NYANGUMI AIBUKA PWANI YA MTWARA, TAZAMA PICHA HIZI HAPA UONE KILICHOTOKEA
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada yakukutwa
ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa
mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa
angalia taswira za mzoga huo
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment