Ujerumani wanakuwa timu ya kwanza ya kutoka bara Ulaya kutwaa kombe la dunia katika mchuano ulioandaliwa Kusini mwa Marekani.
Ujerumani ilihitaji bao la muda wa ziada la Mario Gotze kuinyamazisha Argentina katika mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Maracana.
Kufuatia ushindi huo Ujerumani walinyakua taji kwa mara ya nne .(Hudugu Ng'amilo)
No comments:
Post a Comment