Wednesday, 2 July 2014

MACHINGA WATIMULIWA STENDI MPYA YA NANENANE JIJINI MBEYA


Asikari wa jiji wakipita kutoa taarifa za kutoa vibanda vya machinga vilivyo mbele ya maduka ya stendi






kiongozi wa wamachinga akiongea na wa machinga mbele ya asikari jiji na kuwaomba wangojee mkurugenzi aje kuwagawia


Asikari wa jiji akifurahia kwa kuungwa mkono na baadhi ya wamachinga kwa kauli ya kungojea mkurugenzi kugawa maeneo hayo


   machinga wa liojenga vibanda  wahamuriwa kuboa vibanda hvyo ifikapo jioni ya leo na kungojea kauli toka kwa mkurugenzi wajiji
          PICHA NA HABARI TALK

No comments:

Post a Comment