Monday, 28 July 2014

Dk Slaa aibua upya sakata la viungo vya maiti vilivyotupwa



Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa akizungumza wakati wa hafla ya kuuaga uongozi wa Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Chadema (Chaso), Tawi la Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba  Muhimbili( MUHAS), Dar es Salaam jana. kushoto ni Katibu Baraza la Wanawake wa Chadema, (Bawacha), Naomi Kaihula na kulia ni mwenyekiti chama hicho Kanda ya Mashariki, Profesa Abdallah Safari. Picha na Nuzulack Dausen 

No comments:

Post a Comment