 |
Mchungaji Annoni Mwakitalu akifungua sherehe ya chama cha wababa |
 |
Washirika wakifanya harambee ya kuchangisha fedha za kujenga kanisa |
 |
Wababa wakikabizi mifuko mia moja (100) ya cement kwa uongozi wa kanisa |
 |
Wanaume wakitumbwiza sherehe yao |
 |
Mgeni rasmi Mzee Simkoko akimkabizi Mchungaji cheki ya shillingi laki nane |
 |
Mgeni rasmi Mzee Simkoko akiwa anasikiliza kwa makini |
 |
Mzee Mkwama akielezea sare yao inamaanisha nini |
|
|
Chama hicho kimetoa cheki ya laki nane kwa mchungaji na kutoa mifuko mia moja ya cement kwa
kamati ya ujenzi wa kanisa.
Na Habari Talk
No comments:
Post a Comment