

Baadhi ya wahudumu waliovalia mavazi maalumu wa wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo maalumu
ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu
tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa ebola mara
atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi madakrai na wauguzi
walivyo jiandaa kufanya ukaguzi wa abiria na kutambua wagonjwa wa ebola
mara watapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jueb4: lius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili
kutokea Dodoma.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi vifaa maalumu
vinavyofanya kazi ya kutambua wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo ya namna ya kuhudumia abiria
wakati wa ukaguzi wa wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Self Rashid
Rashid
Hemed jinsi Tanzania ilivyojipanga kupambana na ugonjwa hatari wa ebola
baada ya kukagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa
ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam
leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment