Sunday, 13 July 2014

UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA TATU KWENYE KOMBE LA DUNIA



Timu ya taifa ya Uholanzi imefanikiwa kupata nafasi ya tatu baada ya kuwafunga wenyeji wa michuano hii ya Kombe la Dunia Brazil. Uholanzi waliwafunga Brazil kwa jumla ya magoli matatu kwa bila na kuwafanya Brazil  kushika nafasi ya nne.(P.T) 

No comments:

Post a Comment