Monday, 7 July 2014

RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA MAONESHO YA SABASABA



d1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake

d2
d3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi katika banda la JWTZ alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.(A.I).

No comments:

Post a Comment