Thursday, 17 July 2014

MAKALLA ATOLEWA CHINI YA ULINZI WA POLISI



Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (katikati), akiongozwa polisi kuingia kwenye gari baada ya kutokea vurugu meza kuu, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Goba, Kinondoni Dar es Salaam, ambazo alidai zilipangwa kwa makusudi na viongozi wa Chadema kwa lengo la kumvulugia ziara yake ya kuwaelezea wananchi utekelezaji wa Ilani ya CCM katika suala la upatikanaji wa maji ya uhakika jijini Dar es Salaam ifikapo Septemba, mwakani. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG



 Makalla akijadiliana na maofisa wa CCM na Polisi kabla ya kwenda kupanda gari na kuondoka.

Poilisi wakiwadhibiti baadhi ya wafuasi wa Chadema waliokuwa wakisababisha vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Makongo. Kinondoni. (FS)

No comments:

Post a Comment