

Kwa
jamii yetu mnyama mbwa anafugwa kwa madhumuni ya kusaidia ulinzi. Ila
katika jamii nyingine mnyama huyu ni rafiki mkubwa wa binadamu na
anapewa heshima zote za rafiki wa kweli. Kudhihirisha hilo ni kosa kubwa
kwa wenzetu hawa kumtaja mnyama huyu kwa kutumia pronoun "it". Huwakilishwa na pronoun sawia kabisa na binadamu. Mathalani mbwa dume ni "he" na mbwa jike ni "she". Huo ni mfano mmoja tu wa heshima apewayo mnyama mbwa. Naamini ipo mingi.
No comments:
Post a Comment