Mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
NI jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi
mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na muuguzi)
kufikishwa hospitalini hapo akiwa amekatwa nyeti na mtu aliyedaiwa ni
mganga wa kienyeji ‘sangoma’ na kuipeleka kusikojulikana.
Shehemu ya vijana wanaokadiriwa kufikia 10,800, waliojitokeza kuomba
ajira Idara ya Uhamiaji, wakiwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Julai 13, kusubiri usaili ili kujaza nafasi 70 zilizokuwa wazi. Picha ya
Maktaba