Nigeria
bila shaka yeyote watatuwakilisha vema leo na kuingia hatua ya 16 bora.
Tangu fainali za kombe la dunia za 1994, Nigeria imeweza kujenga
oganaizesheni ya soka yenye kueleweka. Nigeria si timu ya msimu kwenye
World Cup. Oganaization yao ikiwemo kuimarisha soka ya vijana imewafanya
kuwa na uhakika wa kukata tiketi ya kombe la dunia na mashindano
mengine makubwa.
Nawapenda Nigeria na ni nchi ninayoishabikia kutokana na uwezo wao wa kucheza soka ya kisasa.
Namkumbuka sana Rashid Yekini aliyefunga bao la kwanza la Kombe la Dunia kwa Nigeria mwaka 1994.
Kila la la kheri Nigeria.
Maggid.
Iringa.(P.T)

No comments:
Post a Comment