SUPER MARIO
Mario Balotelli amesema anatarajia busu kutoka kwa malikia kama Italia itaifunga Costa Rica leo ijumaa.
MATUMAINI ya England kufuzu hatua ya pili ya kombe la dunia yamefifia baada ya kufungwa mabao 2-1 na Uruguay.
Roy Hodgson anatakiwa kuwaombea Italia ili waifunge Costa Rica leo ijumaa ili simba watatu waendelee kuwepo katika mashindano.
Mshambuliaji
wa Azzurri, Marioa Balotelli amekuja na kali nyingine baada ya kudai
Italia itafanikiwa kuifunga Costa Rica na kama itatokea atahitaji busu
la malkia wa Uingereza,(A.I).
No comments:
Post a Comment