
Watu
wawili akiwemo Mkurungunzi wa taasaisi ya Ansurisuna kanda ya kaskazin
Shekhe Sudi Ally Sudi wamejeruhiwa vibaya na kitu kinachoisiwa kuwa ni
bomu la kutupwa kwa mkono usiku wa kuamkia leo eneo la majengo jiji
Arusha.
CHANZO; Radio One Stereo (MC).
No comments:
Post a Comment