| Meneja Mathew Sasali wa radio ushindi radio akifungua sherehe za uzinduzi wa radio hiyo na kutambulisha wafanyakazi wa radio |
| Mwimbaji na mtangazaji wa radio ushindi Kelvin Nyorobi akitumbuza kwenye sherehe hiyo |
| Wasikilizaji wa Ushindi FM waliojitokeza kwenye uzinduzi |
| Marth Baraka akitumbwiza |
| Wafanyakazi wa Ushindi Fm |
| Mgeni rasmi Makamo wa askofu mkuu katika uzinduzi huo |
| Mgeni rasmi akikata utepe ishara ya kufungua radio hiyo |
![]() |
| Makamo wa askofu na wachungaji wakiombea jiwe la msingi la radio ushindi |
![]() |
| Wachungaji wakiombea mnara wa kurushia matangazo wa radio ushindi |
![]() |
| Mgeni rasmi akikagua studio na kupewa maelezo namna ya urushwaji wa matangazo unavyofanyika |
![]() | ||
| JIWE LA MSINGI LA USHINDI FM |




No comments:
Post a Comment