| Wakuu wa wilaya |
|
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro
akiweka Ngao na Mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya
siku ya Mashujaa leo
|
| Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa |
| Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale |
|
Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu
Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa
|
| Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua |
| Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na chifu wa mkoa wa Mbeya Chifu Mwashinga |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwsalimia wananchi wa mkoa wa mbeya waliohudhuria tukio hilo la kuwakumbuka mashujaa |
Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment