Saturday, 21 June 2014

WATU ZAIDI YA 10 WAFARIKI DUNIA ENEO LA MAKONGO KWA AJALI


 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo.
Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
 R.I.P
Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata.
chanzo;habarikwanza

No comments:

Post a Comment